Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Ikulu

Dkt. Jakaya M Kikwete

Wasifu

Kurasa Mashuhuri
Anuani ya Ikulu

Ofisi ya Rais Ikulu,

1Barabara ya Barack Obama,

11400 Dar es salaam

Simu : 0222116898

Simu : 0222116900/6

Nukushi: 0222113425/

2116910/2117272

Barua pepe : ikulu@ikulu.go.tz

Karibu

Karibu kwenye Tovuti rasmi ya Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu. Ofisi hii inatambua umuhimu wa taarifa kwa wananchi katika kuibua mawazo mapya yanayoweza kuchangia maendeleo ya nchi. Tovuti hii imetayarishwa ili  kukurahisishia kupata  taarifa bure kuhusu shughuli za kila siku za Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazoboreshwa mara kwa mara.

Kwa kuzingatia dhamira ya Rai Soma zaidi

Taarifa kwa vyombo vya Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Jumatano, Agosti 20, 2014 ameanza ziara ya Mkoa wa Morogoro kwa kuzindua...

Soma zaidi

Nukuu ya Leo

"Hatuna viwanda vya kuajiri vijana wetu wote, lakini tunayo ardhi ya kutosha sisi wote iwapo unyang’anyi wa ardhi utakomeshwa. Umaskini kwa watu wengine ni kukosa ardhi"

Nukuu ya :
Edward Moringe Sokoine