Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazungumzo na Uongozi wa Miss World Limited ukiongozwa na Bi. Julia Morley, pamoja na mshindi wa Miss World 2025, Bi. Opal Chuangsri na Miss World Africa, Bi. Hasset Admassu, Kizimkazi - Zanzibar, tarehe 20 Julai, 2025.